Mshindi wa tuzo ya mwaka 2025 ya Nobel Maria Corina Machado hatoshiriki sherehe ya kukabidhiwa tuzo ya amani ya Nobel mjini Oslo, nchini Norway. Alishinda tuzo hiyo kutokana na kupigania demokrasia ...