Makamu wa rais wa Marekani Kamala Harris amekuwa akikosolewa na maafisa kwa kutoa hotuba zinazopigia debe haki za wapenzi wa jinsia moja wakati wa ziara yake ya siku tatu katika bara la Afrika ...